Platform Carbon Trading - Tunza Mazingira Pata Pesa

Cash for Conservation

Platform Carbon Trading is compensating conservation efforts by small and large holder farmers and other parties.

Tunza Mazingira Pata Pesa

Cash For Conservation Program

Programu ya Platform Carbon Trading (PCT) inalenga kuwalipa wakulima wadogo na wakubwa na wamiliki wa mashamba ambao wanazingatia au watakubali kilimo na kilimo mseto kinachozingatia hali ya hewa na mazingira. Wakulima hawa watazawadiwa kupitia malipo ya fedha taslimu na usambazaji wa pembejeo za kilimo bila malipo. Mkulima atakaye pata malipo ni yule ambaye:

i)             Amepanda au atapanda na kutunza miti.

ii)                  Amepanda au atapanda nyasi kwenye maeneo yenye mteremko na yasiyolimwa.

iii)                Atalinda mazingira asilia dhidi ya upotevu na uharibifu.

Mkulima anaweza kulipwa kiwango cha pes azote  kama atajitolea mapema kwa kipindi chote ikiwa kuna dhamana ya ziada inayofaa kwa hiyo hiyo.

"Tunza Mazingira Upate Pesa"
Cash for Conservation Program

Taking care of our environment and partners come on board to compensate the efforts.

Kupanda na Kuchunga Miti

Kama umepanda na unatunza msitu wako mwenyewe unalipwa ili uendelee kutunza ile miti badala ya kuikata na kuifanyia kuni, mbao au makaa.

Kuzuia Mmonyoko wa Udongo

Kama unazuia mmonyoko wa udongo katika mahali unapoishi wewe pia unatunukiwa ili uendelee kutia bidii na kuhakikisha ardhi inabaki salama.

Kuchunga Mazingira Yetu

Kutilia manani matumizi ya mazingira yetu na kuiweka ikiwa safi kama kutochafua, kulainisha mitaro, kuzuia uharibifu wa misitu na miundo msingi.

Cash for Conservation - compensating selfless efforts to conserve the environment

Tunza Mazingira Pata Pesa

Platform Carbon Trading

Nature is the way!